PROFESA ANNA TIBAIJUKA AZINDUA HOTEL YA NYOTA NNE JIJINI ARUSHA

Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Profesa Anna Tibaijuka akikata utepe wakati wa uzinduzi wa hoteli mpya yenye hadhi ya nyota 4 ya palace jijini Arusha jana.Wanaoshuhudia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mh. Lazaro Nyalandu,Mkurugenzi Mkuu wa NHC,Bw. Nehemia Mchechu na kulia mmiliki wa hoteli hiyo Dr.Hans Macha. waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Profesa Anna Tibaijuka akiangalia jiwe la msingi baada ya uzinduzi wa hotel yenye hadhi ya nyota 4 Palace hoteli iliyopo katikati ya jiji la Arusha. WAZIRI wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Profesa Anna Tibaijuka akikata keki yenye taswira ya jengo la hotel(from Arusha yetu blog)
Share on Google Plus

0 comments: