HAKUNA KAMA OMOTOLA NOLLYWOOD

Muigizaji wa Nollywood, Omotola, Jalade- Ekeinde, ameanza kuonekan kwenye televisheni za Marekani, kwenye kipindi kiitwacho BounceNyota huyo ambaye amekuwa Marekani kwa muda sasa ameanza ku......
onyesha uwezo wake mbele ya wakali wa Hollwood nchini MarekaniBaadhi ya wasanii mbalimbali kutoka Nigeria walishindwa kung'aa lakini msanii huyo amefanikiwa kushiriki kwenye tamthilia nchini MarekaniKatika tamthilia hiyo Omotola amecheza na Kimberly Elise
Share on Google Plus

0 comments: