CHOCLATE ZAMPONZA CEO WA ENDLESS FAME FILMS


CEO wa Endless Fame Films Wema Sepetu amelazimika kujisamilisha kwa daktari wa meno baada ya ulaji wa chocolate kumponza na hivyo.....kuozesha baadhi ya meno yake.
eb53b55080ba11e2bd6422000a9f12df_7
Kupitia Instagram, Miss Tanzania huyo wa zamani, ameshare picha akiwa kwenye clinic ya meno kung’oa jino lililokuwa likimsumbua. “Apparently I have 8 cavities…. oh god… does this mean no more chocolate for me,” ameandika. Kwa waliowahi kuumwa na jino wanaujua muziki wake, so get well soon Wema.
0c996cf080bb11e2a3d822000a1f9be5_7
4bf607be80bb11e29bea22000a1f90d2_7
501d99e680bc11e28eb922000a1fbc88_7

Share on Google Plus

0 comments: