Watu waliozaliwa na kukulia katika maeneo ya pembezoni mwa Ziwa
Tanganyika wana wakati mgumu, kwani ziwa hilo linakabiliwa vitisho sita
vinavyoliathiri na ambavyo vinayagusa moja kwa moja maisha ya watu hao.
Wakimbizi wa Kikongo wakivuuka Ziwa Tanganyika.
Ziwa Tanganyika lenye kina cha ujazo wa mita 1,470, urefu wa kilomita
673 na upana wa kilomita 50 ni la pili kwa ukubwa barani Afrika na la
pili pia kwa wingi wa ujazo wake wa maji duniani na kina kirefu baada ya
Baikal la Saiberia. Lakini sasa, bonde la ziwa hilo limeanza kupoteza
uhai.Sudi Mnette anaangazia maisha ya watu waliomo kwenye bonde hilo, ambalo linazihusisha nchi za Tanzania, Zambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Burundi.
Kusikiliza makala haya, tafadhali bonyeza alama ya spika za
0 comments: