Rais Obama pamoja na
Bush walikutana leo Asubuhi katika Ubalozi wa Marekani uliopo jijini Dar
es Salaam na kufanya tendo la kutoa heshima zao kwa Walipoteza Maisha
pamoja na wale wote walioathirika katika shambulio la Ugaidi katika
Ubalozi wao hapa nchini mwaka 1998.
Hapa walipata nafasi ya kukutana na Familia za walioathirika na tukio hilo la Ugaidi |
0 comments: