''MSIJE DAR WAKATI WA ZIARA YA RAIS OBAMA KWANI HUDUMA NYINGI ZA KIJAMII ZITAKUA NISHIDA''NI KAULI YA MEMBE ALIPOKUA AKITOA RIPOTI HIYO CLOUDS RADIO


Dar es salaamWaziri wa mambo ya njee Benard Membe amewashauri watu kusitisha safari zao za kuja jijini humo kutokana na ujio wa Rais wa marekaani Barack Obama anyetarajia kuwasili nchini na akiwa na wageni wengi.Ugeni huo ni pamoja na hule wa wageni kumi na moja kutoka nchi mbalimbali duniani wanaotarajia kuudhiria mkutano wakimataifa SMART PARTINERSHIP utakaofunguliwa na Rais Kikwete kwenye ukumbi wa mikutano wakimataifa wa Julius Nyerer.Ulinzi umeimarishwa
sehemu mbalimbali za jiji la Dar hasa katika Hoteli za kitali ambazo zimeanza upekuzi wa wageni wao.
Akizungumza katika mahojiano katika Radio ya watu Clouds FM Radio amesema jiji limefulika kwani ugeni huo ni mkubwa sana kutokea hapa nchini kwetu,Hoteli na nyumba za wageni zimefulika wageni ni wengi na hoteli nyingi zimefurika na magari mengi ya mekodishwa kwa ujimla huduma nyingi za kijamii zitapatikana kwa shida.alimalizia waziri Membe alipokuwa akieleza hayo radioni.
Share on Google Plus

0 comments: