JAPANI KUIPA AFRICA MSAADA WA DOLA MILIONI 32

Mkutano wa Afrika-Japani
Waziri mkuu wa Japani Shinzo Abe ameaidi kutoa msaada wa Dola mil 32 ili kusaidia ukuaji wa uchumi katika Bara la Afrika kusaidia secta binafi,Waziri huyo  wa Japani aliyasema hayo alipokuwa katika mkutano wa siku tatu wakuhusu maendekeo ya nchi za Afrika huko mjini Yokohama nchini Japani. Msaada huo unajumlisha utoaji wa Yeni 650 kwaajili ya mikopo ya ujenzi wa miundo mbinu na mafunzo ya ajila kwa vijana wqa Afrika mpango huo utawapa vijana zaidi ya 1000 kujifunza katika vyuo vikuu vya kijapani pamoja  na kujifunza kazi katika.......
makampuni ya kijapani.
Waziri huyo amesema kuendeleza rasilimali ya nguvu kazi, huduma ya matibabu kwa jamii pamoja na kukuza secta za kilimo ni jambo muhimu katika kuchochea maendeleo katika nchi za kiafrika
Share on Google Plus

0 comments: