RELI MPYA KUJENGWA DAR

.
Pia wizara inaangalia uwezekano wakuanzisha huduma ya maalumu ya kati ya stesheni ya Dar es salaam na Gongo la Mboto kawjili ya kuhudumia abiria wanaoshuka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere. DK Mwakyembe alisema hivi sasa wanatafuta mchakato wakupata mwekezaji na mwendeshaji wa huduma lya isafiri wa treni ya abiria katika jiji la Dsr es laam.
Share on Google Plus

0 comments: