Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova
rushwa ili kuwaachia wafanyabishara hao.Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova alisema askari hao wapo chini ya ulinzi na wanaendelea kuhojiwa. Alisema pamoja na askari hao kuhojiwa, mpaka sasa majina ya wafanyabiashara yamefadhiwa kwa sababu bado wapo wengi wanaoendelea kutafutwa.
0 comments: