Waziri wa Ushirikiano wa Afrika
Mashariki, Mh Samuel Sitta akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na
Matumizi ya Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2013/14 Bungeni mjini
Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria,Mh
Mathias Chikawe (kushoto), Mbunge wa Sengerema,Mh William Ngeleja na
Mbunge wa Peramio, Mh Jenister Mhagama wakifurahi jambo wakati wakitoka
ndani ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana. Picha zote na Zawadi Msalla
wa MAELEZO.
0 comments: