Waziri wa afya wa Afrika Kusini Amesema kuwa zaidi ya
asili mia 28% ya wasichana wa shule wameambukizwa virusi vya Ukimwi,
ikilinganishwa na asili mia 4% tu ya vijana wa shule.
Hii ameelezea ni kutokana ukubwa wa kuongezeka
kwa mababa sukari au kwa jina lingine, *fataki*, ( Wazee wanao tembea na
wasichana wadogo kwa umri).Waziri Aaron Motsoaledi amesema kuwa wamepata ushahidi kuwa wasichana.....
wengi wamejiingiza katika mapenzi na wazee waliowazidi ki umri badala ya kuwa na vijana wa rika lao.
madawa ya ARV
0 comments: