It's scientifically proven: being in love makes you a less productive person.

 giant-snake
Nyoka mwingine mkubwa kuzidi yule aliepatikana huko nchini Brazil miezi michache iliyopita amepatikana huko nchini Marekani katika mji wa North Caroline. Jeshi la polise nchini humo limeanza kufanya uchunguzi ili kujua kama kuna uwezekano wa nyoka huyo kuwa amemeza mtu kutokana na ukubwa watumbo lake.
Nyoka huyo alionekana baada ya mfanyakazi mmoja wa misitu alipokua akiondo mti uliodondoka chini huku nyoka huyo akiwa amelala  chini ya mti huo mkubwa
Hapa chini ni video jinsi nyoka huyo alivyokua anakamatwa...

ENDELEA KUFATILIA HABARI HII ILI KUJUA KAMA NYOKA HUYU ALIMEZA MTU... HABARI KAMILI KAMILI ITAENDELEA KUFUATILIA MKASA HUU KWA KARIBU ZAIDI USIACHE KULIKE UKURASA WETU WA FACE BUKU NA KUSHARE NA WENZAKO...

0 comments:

UMEISOMA HII BANGI RUKSA KWA WAGONJWA UJERUMANI

Waoteshaji bangi. Waoteshaji bangi.
Kupamba moto kwa chuki dhidi ya Uyahudi kutokana na mzozo Gaza,suala la mzozo wa Ukraine na kuwekewa vikwazo kwa Urusi kwa kuchochea mzozo huo na hukumu ya kuruhusu matumizi ya bangi kwa wagonjwa nchini Ujerumani ni miongoni mwa mada zilizohodhi tahariri za magazeti ya Ujerumani Jumatano (23.07.2014).
Gazeti la Thüringische Landeszeitung la mji wa Weimar a linaandika kwamba ule uhuru wa kuandamana,uhuru wa kujieleza au shutuma dhidi ya serikali ya Israel mambo ambayo yanapaswa kuruhusiwa wakati wote imekuwa sio hivyo tena. Chuki dhidi ya Uyahudi inayopaliliwa na watu wachache wenye misimamo mikali sio tu iko nchini Ujerumani bali pia katika nchi nyengine nyingi tena ikiwa katika hali mbaya zaidi kuliko ile ya Ujerumani.Kila mmoja anabidi ashughulikie tatizo lake.Kwa upande wa Ujerumani sio ni kwa sababu ya suala la maangamizi ya Wayahudi yaliyotokea nchini bali pia ni kwa sababu kuheshimu haki za binaadamu ni nguzo muhimu ya mfumo wa kisiasa wa Ujerumani ambao umeamuwa kukomesha chuki za kibaguzi dhidi ya Uyahudi.Jambo hilo halina nafasi tena nchini Ujerumani.
Jumuiya ya kimataifa iwajibike
Gazeti la Main Posts la Würzburg likizungumzia mzozo wa Gaza na chuki iliyoibuwa linasema kwa sasa wachochezi kutoka pande zote mbili ndio wenye usemi kuuzidishia unyama mzozo huo na pia kuzidisha misimamo mikali.
Gazeti hilo linaendelea kusema ufumbuzi wa mataifa mawili, Wapalestina wakiwa na taifa lao wenyewe pembezoni mwa taifa la Kiyahudi ni porojo.Mtaalamu wa Mashariki ya Kati Michael Lüders ana hofia kama matokeo ni kuwepo kwa taifa la Israel litakalokuwa na utawala wa ubaguzi wa rangi ambao Wayahudi wachache watawakandamiza Waarabu walio wengi na hatari ya kuzuka kwa vita vikubwa. Maafa kwa pande zote mbili yanaendelea.Jumuiya ya Kimataifa inatakiwa iwajibike hususan marafiki wa Israel.
Mzozo wa Ukraine wakirihisha
Gazeti la Badische Nachricten la Karslruhe linazungumzia mzozo wa Ukraine katika uhairiri wake ambapo linasema:
Kwa namna Rais Valdimir Putin wa Urusi alivyotowa maelezo kuhusu maafa ya kudunguliwa kwa ndege ya Malaysia huko Ukraine na kwa jinsi waasi walivyozishughulikia maiti za mkasa huo pamoja na vitu vyao ni jambo la kukirihisha. Hata hivyo Umoja wa Ulaya umerudi nyuma katika kuchukuwa hatua muhimu na kwa mara nyengine tena hakutokuwa na vikwazo vya kiuhumi dhidi ya Urusi na Ufaransa tayari imeonyesha haina tatizo kwa hilo inaipatia Urusi helikopta mbili chapa ya Mistral.
Bangi ruksa kwa wagonjwa
Hukumu ya kuruhusu matumizi ya bangi nchini Ujerumani imezungumziwa na magazeti mbali mbali likiwemo la Stuttgarter Nachrichten ambalo linasema hukumu hiyo iliyotolewa na mahakama ya Cologne ni kama pigo kubwa kwa Taassi ya Shirikisho inayoshughulikia Madawa na Vifaa vya Matibabu na kwa maana hiyo serikali ya Ujerumani.
Gazeti hilo linasema iwapo mgonjwa anaelekezwa kuendelea kutumia bangi kwa kuruhusiwa kuiotesha mwenyewe hapo tena suala linakuwa sio iwapo bali vipi na bora hivyo kwa maslahi ya wagonjwa walio taabani ambapo hakuna kengine kinachoweza kusaidia.
Mwandishi: Mohamed Dahman/Inlandspresse
Mhariri : Josephat Charo

0 comments:

When You Fall in Love You Lose Two Close Friends.

 Couple kissing


Falling in love comes at the cost of losing two close friends, a study says.
We probably all know that a passionate new relationship can leave you little time for others, but now science has put some numbers on the observation.
Oxford University researchers asked people about their inner core of friendships and how this number changed when romance entered the equation.
They found the core, which numbers about five people, dropped by two as a new lover came to dominate daily life.
"People who are in romantic relationships - instead of having the typical five [individuals] on average, they only have four in that circle," explained Robin Dunbar, a professor of evolutionary anthropology at Oxford.
"And bearing in mind that one of those is the new person that's come into your life, it means you've had to give up two others."
The research, which has only recently been submitted for publication, was presented to the British Science Festival at Aston University.
Professor Dunbar's group studies social networks and how we manage their size and composition.
He has previously shown that the maximum number of friends it is realistically possible to engage is about 150. On the social networking site Facebook, for example, people will typically have 120-130 friends.
This number can be divided into progressively smaller groups, with an inner clique numbering between four and six.
These are people who we see at least once a week; people we go to at moments of crisis. The next layer out are the people we see about once a month - the "sympathy group". They are all the people who, if they died tomorrow, we would miss and be upset about.
In the latest study, the team questioned 540 participants, aged 18 and over, about their relationships and the strain those relationships came under when a new romantic engagement was started.
The results confirmed the widely held view that love can lead to a smaller support network, with typically one family member and one friend being pushed out to accommodate the new lover.
"The intimacy of a relationship - your emotional engagement with it - correlates very tightly with the frequency of your interactions with those individuals," observed Professor Dunbar.
"If you don't see people, the emotional engagement starts to drop off, and quickly.
"What I suspect happens is that your attention is so wholly focussed on your romantic partner that you just don't get to see the other folks you have a lot to do with, and therefore some of those relationships just start to deteriorate and drop down into the layer below."

0 comments:

NYOKA MKUBWA DUNIANI AINA YA ANAKONDA WA UREFU WA HATUA ZA MIGUU 26 AONEKANA MTO WA BRAZILI


Wazamiaji wa brazili wanaozamia katika mito iliyomo katika misitu ya Rain Forest iliyopo nchini humo wamefanikiwa kumuona nyoko mkubwa duniani aina ya Anaconda mwenye urefu wa hatua kumi za miguu.Wazamiaji hao ambao wamesema toka waanze kazi hiyo hawajawai kukutana na kiumbe kikubwa na chaajabu kama huyo nyoka .diving-huge-snake
 Wakielezea wazamiaji hao baada ya kumpiga picha Nyoka huyo walisema nyoka huyo walimkuta akiogera kuelekea nchi kavu katika mto huo maarufu kama Rain Forest wamesema nyoka anakadiriwa kuwa na urefu zaidi ya hatua 26 za miguu.
massive-20-foot-snake
green-anaconda-river
Urefu huo wa Nyoka huyo aina ya Anakonda amevunja record baada ya kuingia katika Record Guiness , kabla ya Nyoka huyo kuvnja Record hizo za Dunia, Nyoka aliepewa jina la world’s longest snake ndio nyoka aliekua anashikilia Record hizo akiwaa naurefu unaokadiriwa wa urefu wa hatua za miguu 25.
Mchambuzi Dennis Magessa
Hapo chini kabisa ni video jinsi walivyokuwa wanamfanyia utafiti
 Franco-Banfi-Giant-Anaconda-Divercaught-camera-snake

0 comments:

2% of couples have fallen in love in a supermarket, according to a survey.

Falling in love has much in common with drug addictionFalling in love has much in common with drug addiction
1. Scientifically, love has been defined as "the cognitive-affective state characterised by intrusive and obsessive fantasising concerning reciprocity of amorant feeling by the object of the amorance".
2. According to an old British belief, February 14 is the date when birds choose their mates.
3. Analysis of people's brain activity when looking at pictures of loved ones has shown that falling in love has much in common with drug addiction.
When you fall in love, the brain releases more dopamine, adrenaline and norepinephrine
4. Research published in 2012 claimed that falling in love takes only a fifth of a second.
5. According to a recent survey, two per cent of people have fallen in love in a supermarket.
6. When you fall in love, the brain releases more dopamine, adrenaline and norepinephrine. The first of those creates feelings of euphoria while the other two cause heart fluttering and restlessness.
7. In Mexico, February 14 is a day of national mourning.
8. Shakespeare In Love is the only film with love in its title to have won a best film Oscar.
9. Slovenia is the only country with 'love' spelt out in its name.
10. "Love, n: A temporary insanity curable by marriage" (Ambrose Bierce, Devil's Dictionary).

0 comments: