MBUNGE WA CHADEMA ATOLEWA BUNGENI NI BAADA YA WABUNGE WA CUF KUTAKA KUMPIGA
MZUMBE SECONDARY YAFUNGWA...WANAFUNZI WAPEWA SIKU MBILI WAPOTEE KATIKA MAZINGIRA YA SHULE
Hii ndiyo kazi ya kuwazuia
wanafunzi wenye vipaji wa shule ya sekondari Mzumbe iliyopo wilaya ya Mvomero
baada ya wanafunzi hao kuandamana usiku wa manane kwenda kwa mkuu wa mkoa wa Morogoro
Wananfunzi wakidato cha kwanza hadi cha sita katika
shule ya sekondari Mzumbe Morogoro wamelazimika kuandamana kwenda ofisi ya mkuu
wa mkoa wa huo wakishinikiza kuboreshewa huduma muhimu.Maboresha
wanayodai kuboreshewa shuleni hapo ni pamoja na miundombinu, kuondoa ubadhirifu,
uongozi mbovu na kukomeshwa vitendo vya lugha chafu zinazo tolewa na baadhi ya
walimu.Maandamano hayo yalizimwa mapema asubuhi baada ya jeshi
la polisi kulazimika kufika katika eneo lasangasanga barabara kuu ya Iringa Morogoro ambapo
maandamano hayo yalikuwa yamefika kuelekea.......
HUYU NDIYE KOCHAMPYA WA CHELSEA ALIEPEWA DILI YA PAUNDI MIL 40
Jose Mourinho Ametangazwa Kama Kocha
mpya wa Chelsea chini ya mkataba wa miaka 4 wenye thamani ya Pauni
milioni 40. Jose alikuwa Uingereza kwa siku mbili na ndani ya siku hizi
ndio jana walikubaliana na uongozi wa club ya chelsea kutia wino kwenye
mkataba huo. Awali Jose alisema anakuja Uingereza kwenye mchezo wa
Crystal Palace na Watford Uliofanyika Wembley Jumatatu Iliyopita Lakini
ukweli ni kwamba alikuwa anakuja kwa ajili ya.......
MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA WALINDA AMANI WA UMOJA WA MATAIFA TANZANIA YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO
Mwakilishi
wa Shirika la Chakula Duniani nchini Tanzania (WFP) Bw. Richard Ragan
akiwasili kwenye viwanja hivyo jijini Dar es Salaam kushiriki kwenye
maadhimisho ya kumbukumbu ya Askari wa Kulinda amani wa Umoja wa
Mataifa.
Mgeni rasmi Waziri Mambo ya Ndani nchini Dk. Emmanuel Nchimbi,
Mwakilishi wa Shirika la Chakula Duniani nchini Tanzania (WFP) Bw.
Richard Ragan na Kanali Dominic Mrope wa Jeshi la Wananchi Tanzania
(JWTZ) wakitoa heshima kwa wimbo wa mataifa kwenye maadhimisho hayo.
Mgeni rasmi Waziri Mambo ya Ndani nchini Dk. Emmanuel Nchimbi akielekea
kuweka shada la maua kwenye Mnara wa Mashujaa ikiwa ni ishara ya
kuwakumbuka askari wa kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa walipoteza
maisha wakiwa kazini.
Mh.
Dk. Emmanuel Nchimbi akiweka shada la maua kwenye Mnara wa kumbukumbu
ya Mashujaa uliopo katika viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa maadhimisho
ya kuwakumbuka Askari wa Kulinda Amani wa Umoja wa mataifa walipoteza
maisha wakiwa kazini.ANGALIA PICHA NA MATUKIO ZAIDI.......
Mgeni rasmi Mh. Dk. Emmanuel Nchimbi akitoa heshima mara baada ya kuweka shada la maua kwenye mnara huo.
Mwakilishi
wa Shirika la Chakula Duniani nchini Tanzania (WFP) Bw. Richard Ragan
akielekea kuweka shada la maua kwenye maadhimisho ya kuwakumbuka Askari
wa Kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa yaliyofanyika leo kwenye mnara wa
kumbukumbu ya Mashujaa uliopo viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar.
Mwakilishi wa Shirika la Chakula Duniani nchini Tanzania (WFP) Bw. Richard Ragan akiweka shada la maua kwenye mnara huo.
Kanali
Dominic Mrope wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) akiweka shada la
maua kwenye mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa kwa niaba ya Meja Jenerali
Salum Mustafa Kijuu wakati wa maadhimisho ya siku ya kuwakumbuka Askari
wa kulinda Amani wa Umoja wa mataifa yaliyofanyika kwenye viwanja vya
Mnazi Mmoja leo.
Kanali Dominic Mrope wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) akitoa heshima zake mara baada ya kuweka shada la maua.
Mmoja
wa askari wa JWTZ akipendisha bendera ya Umoja wa Mataifa kama ishara
ya kumbukumbu ya Askari wa Umoja huo wanaolinda Amani katika nchi
mbalimbali za Afrika.
Mgeni
rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani Dk. Emmanuel Nchimbi aki......
RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA MADAKTARI WA KICHINA WALIOWAHI KUFANYA KAZI TANZANIA
KAMATI YA MISS TANZANIA YAKUTANA NA WAREMBO WA KIGAMBONI
Kamati ya
Miss Tanzania ikiwa katika picha ya pamoja na warembo wa Redds Miss
Kigamboni
Warembo wa
Redd's Miss Kigamboni wakiwa katika pozi
Kamati ya
Miss Tanzania ikiwa katika picha ya pamoja na warembo wa Redds Miss
Kigamboni
Mwenyekiti
wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga akizungumza na warembo wanao........wania
taji la Redd’s Miss Kigamboni wakati alipotembelea kambi yao ya mazoezi jijini
Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga akizungumza na warembo wanaowania
taji la Redd’s Miss Kigamboni wakati ali
TANESCO WALIA NA WEZI WA UMEME
SITTA,MWAKIEMBE, NA MAGUFURI KUGOMBEA URAIS 2015
*Sitta, Mwakyembe, Magufuli na Membe katika mizani ya uadilifu *Dk. Bana asema wanamvuruga Rais Kikwete, wamepwaya kiuongozi *Prof. Safari awaita matapeli wa kisiasa, Dk. Slaa awapuuza |
FLAVIANA MATATA MAMBO YAMNYOKEA SOUTH AFRICA
PICHA ZA HOSPITALI AMBAYO MWILI WA MANGWEA UMEIFADHIWA
.
MAMA ALIYEJIFUNGUA WATOTO WA5 ARUHUSIWA KUTOKA WODINI
Bi, Jane Mlela pichani akiwa na mmoja kati ya watoto wa tano aliyejifungua kabla ya watoto hao hawajafariki |
WACHEZAJI WA KIGENI SIMBA SC, YANGA NA AZAM KIKAANGONI TFF
Joackins wa Atudo wa Azam |
RAIS WA REAL MADRID AHAIDI KUMPA RONALDO CHOCHOTE ATAKACHO
RAIS wa Real Madrid, Florentino Perez
anajiandaa kumfanya Cristiano Ronaldo awe mchezaji anayelipwa zaidi
duniani katika jithada za kumshawishi abaki Bernabeu, baada ya kuondoka
kwa Jose Mourinho.
Perez amesema: "Ningependa Cristiano
Ronaldo awe mchezaji anayelipwa zaidi duniani. Tunakwenda kufanya kila
kitu katika mikono yetu kumfanya awe na furaha.’Nyota huyo wa zamani wa Manchester
United amekuwa akihusishwa na uvumi wa kurejea Old Trafford msimu ujao
au kwenda kujiunga na Matajiri wa Ufaransa, Paris Saint-Germain - lakini
Perez anapambana kumzuia Madrid kwa muda zaidi.......
MSANII WA BONGO FLAVA ALBERT MANGWEA AMEFARIKI DUNIA
AU YAITUHUMU ICC KWAKUIANDAMA AFRICA
Subscribe to:
Posts (Atom)
0 comments: