ABU QATADA ASALIA UINGEREZA

Serikali ya Uingereza hatimaye imeshindwa katika dakika za mwisho kwenye kesi ya kumuondosha nchini hapa mhubiri wa dini ya kiislamu mwenye itikadi kali Abu Qatada kwenda nchini Jordan.
Abu Qatada amekuwa akitakiwa na serikali ya Jordan baada ya kupatikana na hatia ya........

0 comments:

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 21 MARCH HAYA HAPA

.

0 comments:

OBAMA APANIA KURUDISHA AMANI ISRAEL

Rais Barack Obama amewasili nchini Israel. Hii ni ziara yake ya kwanza kama rais wa Marekani.Huku akiwasili, waandamanaji walikusanyika na ulinzi kuimarishwa nchini Israel na katika maeneo ya Palestina.
Bwana Obama anategemewa ku.......

0 comments:

BECKHAM ASAKATA MPIRA NA TAI BAADA YA KUWASILI CHINA



David Beckham aliwasili nchini China juu ya Jumanne kama balozi kusaidia kuendeleza wachezaji vijana kama nchi inajaribu kusafisha soka yake image baada spate ya kashfa za rushwa. nahodha wa zamani wa England alisema yeye si wasiwasi kuhusu ka......

0 comments: