MAREKANI YATOA MSAADA KWA WAASI SYRIA


Waziri wa mambo ya Nje wa Marekani John Kerry ametangaza kuwa nchi yake itawapa wapinzani wa Rais Bashar al Assad msaada wa zana za kivita

0 comments:

MTANZANI ATEULIWA KUWA WAZIRI MKUU NCHINI RWANDA

RAIS Paul Kagame wa Rwanda amemteua Mtanzania, Profesa Silas Rwakabamba pichani kuwa Waziri wa Miundombinu wa nchi hiyo katika mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yaliyofanyika Jumatatu iliyopita.Kabla ya uteuzi huo, Profesa Rwakabamba alikuwa......

0 comments:

VIDEO YA MTOTO WA MIAKA 9 YAZUA BALAA POLISI WAMSAKA BABA YAKE


Mtoto mwenye umri wa miaka 9, Luie Rivera Jr., ambaye jina lake la kisanii ni “Lil Poopy,” ameonekana kwenye video anazozipost online hususan kwenye mtandao...... wa YouTube, akicheza muziki na wasichana wakubwa kwa umri wake, akiendesha magari ya kifahari kama Ferrari na akirap maneno kama “coke is not a bad word.” 
Katika video nyingine mtoto huyo anaonekana akicheza na msichana katika pozi chafu huku watu wakimtupia hela.
poopyladies
Idara ya polisi ya Brockton, Massachusetts, imewasiliana na ofisi inayoshughulikia masuala ya watoto na familia nchini humo baada ya kupokea simu nyingi kutoka kwa..... wat

0 comments:

.
.
.......
.
.READ MORE....

0 comments:

THE OLDEST LIVING WOMAN ON THE PLANET(MJUE MWANAMKE MKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI )

 
Misao Okawa with her granddaughter and her three-month-old great-grandson. (Photo: Guinness Book of World Reco …Misao Okawa will be 115 years old next week. On Tuesday, she got an early birthday present when.....

0 comments:

SALAMA JABIR AWATOLEA UVIVU TANESCO

 
 Siku za hivi karibuni kumekuwepo na katizo la umeme la mara kwa mara katika maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam na mikoa mingine kama Arusha kiasi cha kuathiri shughuli nyingi za kiuchumi.
Kufuatia tabia hiyo ya Tanesco kufanya yao kila siku na kuwaweka wajasiriamali wanaotegemea umeme kwenye mawe, mtangazaji wa kipindi ca Mkasi, Salama Jabir, ame.....

0 comments:

SHILOLE AFUNGUKA KUHUSU MAVAZI YAKE



Na Imelda Mtema
NI siku nyingine tena tunakutana katika safu yetu maridhawa ya Staa na Mwana, kama kawa hapa tunakutana na mastaa ambao wamejaliwa kupata watoto. Nisikuchoshe, leo tunaye staa wa muziki na filamu Bongo,  Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ambaye nilimtembelea nyumbani kwake....

0 comments:

PAPA AJIUZULU NA KUWAACHIA UJUMBE MZITO WAKATOLIK


Na Mwandishi Wetu
-UTUMISHI wake unakoma rasmi leo, aaga kwa mawingu mazito, jua lawaka ghafla
ILE historia ambayo haijawahi kuwepo kwa miaka 600 iliyopita ya papa kujiuzulu inafikia tamati leo Alhamisi ambapo Papa Benedict XVI anaachia rasmi uongozi wa Kanisa Katoliki Duniani.


 
Jumapili iliyopita katika Uwanja wa Kanisa la Mtakatifu Petro, jijini Vatican, maelfu ya waumini wa madhehebu hayo walijitokeza kumuaga wakati alipo......

0 comments:

HAKUNA KAMA OMOTOLA NOLLYWOOD

Muigizaji wa Nollywood, Omotola, Jalade- Ekeinde, ameanza kuonekan kwenye televisheni za Marekani, kwenye kipindi kiitwacho BounceNyota huyo ambaye amekuwa Marekani kwa muda sasa ameanza ku......

0 comments:

SERIKALI YA UGANDA YAFIKIRIA KUHAMIA DIGITALI


Chama cha Forum for Democratic Change (FDC) kimepokea na kukubali mpango wa serikali ya Uganda wa kununua toleo jipya kabisa la iPads kwa ajili ya wabunge, lakini kimesema wabunge hao wakopeshwe na.....

0 comments:

CHOCLATE ZAMPONZA CEO WA ENDLESS FAME FILMS


CEO wa Endless Fame Films Wema Sepetu amelazimika kujisamilisha kwa daktari wa meno baada ya ulaji wa chocolate kumponza na hivyo.....

0 comments:

PAPA AFANYA MISA YA MWISHO KABLA YA KUJIUZURU

 
 
Papa Benedict amefanya misa yake ya mwisho hadharani kabla ya kujiuzulu rasmi hapo kesho, kitendo kama hicho kilifanyika katika Kanisa Katoliki miaka mia sita ilyopita.Amewaambia maelfu ya watu waliokusanyika katika viwanja vya Mtakatifu Petro huko Vatican kwamba ali....

0 comments:

MAGAZETI YA LEO 27/2/2013


.
.
..

0 comments:

"NINA ULINZI TOSHA WA BASTOLA YANGU...." HII NI KAULI YA JACK CLIFF ALIPOWEKA PICHA YA BASTOLA YAKE


 e8f190a27e8f11e29deb22000a1f9355_7
Do you wanna mess with Jackie aka Diva the Boss lady? Think again, lasivyo utaishia kifo kama cha mpenzi wake na Oscar Pistorius, Reeva Steenkamp. Apparently the sexy model ambaye hivi karibuni alijikuta aki.....

0 comments:

MI SIJAPUNGUA NI MAZOEZI NDIOSABABU NIKO HIVI

 

Muigizaji aliyepo kwenye list A ya waigizaji wa filamu Tanzania, Vincent Kigosi aka Ray ameamua kuzungumza baada ya watu kuanza kumzushia anaumwa kutokana na kupungua mwili wake kwa kiasi kikubwa.Ray amezikanusha tetesi hizo zili......

0 comments:

JAYDEE NA PROFESA NDANI YA NGOMA MOJA

Profesa Jay na Lady Jaydee wanapokutana siku zote huwa hapaharibiki kitu, ni hit tu. Baada ya miaka mingi kupita, nguli hao wamekutana tena na guess what, this time hakuna amani kabisa kati yao, ni Joto na Hasira tu.

0 comments:

NOKIA YAZINDUA SIMU INAYOKAA NA CHAJI KWA MWEZI MMOJA

Baada ya Nokia 1100 huenda Nokia 105 ikaja kuwa simu maarufu zaidi hasa kwenye nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania. Hii ni baada ya kampuni hiyo ya simu kuzindua simu hiyo yenye uwezo wa kutunza chaji kwa siku 35 kila unapochaji. Simu hiyo imetengenezwa maalum katika maeneo ambayo umeme hakuna ama unasumbua lakini pia kama ‘backup phone’ pale zingine zinapozima. Ikiwa inatarajia kuingia sokoni wiki kadhaa zijazo, Nokia 105 ambayo bei yake ni paundi 13, sawa na shilingi 30,000 za Tanzania pia ina tochi na FM radio

0 comments:

MAGAZETI YA LEO 26/2/2013

.

0 comments:

MDAHALO WA MWISHO WA WAGOMBEA UCHAGUZI WAMALIZIKA JANA JIONI


Awali kulikuwa na taarifa kuwa mgombea wa Urais Uhuru Kenyatta alikuwa amesusia mdahalo huo akidai kuwa mdahalo wa kwanza waliokuwa wanauendesha mjadala wenyewe waliangazia sana swala la ICC na kuwafanya wagombea wengine kumlemea.
Uhuru pamoja na mgombea mwenza William Ruto, wanakabiliwa na kosa la kuwa washukiwa wakuu wa ghasia za baada ya uchaguzi mkuu mwaka 2007/2008 katika mahakama ya ICC. Duru zilisema kuwa Uhuru alisitisha kampeini zake leo ili kuweza kujiandaa vilivyo kwa mjadala huo.
Wagombea wengine akiwemo waziri mkuu Raila Odinga wanajiandaa kwa mjadala huo ambaop hii leo utalipa kipao mbele mbele swala la ardhi, sera za kigeni, na uchumi.

0 comments:

KANU KUANZISHA HOSPITALI YA MOYO 14,MARCH,2013,WATOTO WENYE UMRI CHINI YA MIAKA12 KUTIBIWA BURE

 
Nahodha wa zamani wa Super Eagles, Kanu Nwankwo, ataizindua hospitali ya kutibu magonjwa wa moyo yenye thamani ya Naira billioni 5, tarehe 14 mwezi March 2013, huko mjini Abuja Nigeria.Hospitali, kwa majibu wa ripoti itatoa huduma ya magonjwa yanayohusiana na moyo kwa watoto.  Pia kumekuwepo na ripoti kwamba Raisi wa nchi hiyo, Goodluck Jonathan atawaongoza watu wengine wakubwa kwenye jamii kuizindua hospitali hiyo ya Kanu.  Inasemekana kwamba mchezaji huyo wa zamani wa Ajax na Arsenal atatoa ofa ya kutibiwa bure kwa watoto kuanzia umri wa miaka 0 mpaka 12 wenye matatizo ya moyo.
Kanu alipatwa na matatizo ya moyo wakati akitokea Inter Milan kujiunga na Arsenal miaka kadhaa iliyopita. Alianzisha Kanu Heart Foundation ambayo imesaidia kutibiwa watoto wengi wenye matatizo ya moyo nje ya nchi ya Nigeria.

0 comments:

DIAMOND AZIDA KUKOLEA KWA PENNY PENZI LA PAMBA MOTO


Damn! is she pregnant already?
863bcc8e7cd711e290cd22000a1f90d7_7
f15a59c07b3511e2b4f022000a1f9ac6_7
0d7bac787b3411e28c6a22000a9f3c64_7
4de83da67d7f11e28f8322000a9f18ae_7
6b15ef6c7cd611e2ad9722000a9e2977_7

0 comments:

MCHUNGAJI AVULIWA NGUO ZOTE NA KUCHAPWA VIBOKO NA VIJANA KISA WATOTO WAKE WAFANYIWA TOHARA KIMILA

 
Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) lililopo katika kata ya Ngusero mkoani Arusha aliyedhalilishwa na vijana wa jamii ya kifugaji kwa kuvuliwa nguo zote na kuachwa uchi wa mnyama na kisha kutandikwa viboko amesema atanunua bunduki na kuitumia kuua endapo Serikali haitachukua hatua.Mchungaji huyo alifanyiwa udhalilishaji huo hivi karibuni baada ya kuwatahiri wanawe katika hospitali ya Kiteto, jambo ambalo vijana wa jamii hiyo walisema ni kosa kwa kwenda kinyume na mila na destruri ya kuwatahiri kimila, na hivyo kumvua nguo, kumchapa, kumpiga na kumjeruhi.Mchungaji huyo anasema aliripoti shambulio hilo katika kituo cha polisi na amekuwa akifuatilia lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa dhidi ya vijana hao wala kuulinda usalama wake ikiwa ni pamoja na kuenedelea kupewa vitisho.

0 comments:

WEMA ATANGAZA NAFASI ZA KAZI

 


Kampuni ya Wema Sepetu, Endless Fame Films, inatangaza nafasi za kazi mbalimbali ikiwemo ya usekretari, graphic designer, cameraman na editor. 





0 comments: