PADRI EVARIST ALIYEUAWA KWAKUPIGWA RISASI AZIKWA JANA


Padri Evarist Gabriel Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana Jumapili iliyopita,na amezikwa leo Kijijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B Unguja.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,pia alikuwepo akitoa salamu zake za Mwisho kwa mwili wa Marehemu Padri Evarest Mushi,katika Kanisa la Minaramiwili Mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akitoa salamu zake za Mwisho kwa mwili wa Marehemu Padri Evarest Mushi,katika Kanisa la Minaramiwili Mjini Zanzibar

Padri Evarist Gabriel Mushi,alifariki kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana Jumapili iliyopita alipokuwa akielekea ibadani.BWANA alitoa na BWANA ametwaa BWANA libarikiwe AMEN...!

 111
MAGAZETI YA LEO TAREHE 21/02/2013


.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Share on Google Plus

0 comments: