HABARI KAMILI KUHUSU WASANII WA ARUSHA PROFESSIONAL MOVIES

Director wa Arusha professional movies ambae pia ni camera man akishoot moja ya kazi ya waigizaji hao
Mmoja kati ya maprofeddional camera man wa EMAGS Intertainment akiwa katika moja ya kazi za wasanii hao
moja kati ya scene za ''TEMPTATION OF MY WIFE'' Filamu inayokisiwa kufanya vizuri kimauzo nchinicna nje ya nchi
HAPA BIBIE FELISHA ALIKUA ANAPOKEA USHAURI TOKA KWA DIRECTOR ELIAS MAGESA PEMBENI YAKE NI MAIN CHARACTER MWINGIENE HONEST a.ka MAZURA/ EVERYBODY AKIPITIA SCRIPT KABLA YA KUSHOOT
HAPA ANAONEKANA DIRECTOR MAGESA AKIFANYA YAKE, PEMBENI YUKO FELISHA, RAY SWING NA MZEE BULAH
MAZURA HONEST AKIFANYA YAKE PAMOJA NA MTOTO WA KIMASAI SOPHIA KIFARU
ANAONEKANA BLOG ADMINISTRATOR RODGERS, DIRECTOR NA IBRAHIM JAMAL KUHAKIKISHA UNAPATA PICHA NZURI NA SAUTI ILIYOTULIA
MOJA YA SCENE TAMU KWENYE HII MOVIE


Mmoja kati ya wasanii wa Arusha profession movie akiwa kati ya moja ya mechi zao za kila fiki zidi ya watangazaji wa RADIO 5 ambapo waigizaji hao walifanikiwa kufunga magoli matano kwa sifuri
Hii ni moja kati ya mechi iliyochangamsha zaidi baada ya baadhi ya wa dada kusaka mpira dakika90 uwanjani kama wanaume vile

Kiungo wa Arusha professional movies akipiga mpira baada ya faulo iliyofanywa na mchezaji wa RADIO 5 kwa mchezaji Dizzle


Wachezaji wa arusha professional movie wakipeana ongera baada ya kiungo wao Mwijage maarufu kama mzee wa fifty,fifty kuipatia timu hiyo goli


kiungo Abby akiwa na mpira wakati wa mechi hiyo

Huyu ndio mmoja kati ya wadada wa arusha professional movie alisakata mpira dakika 90 uwanjani na kuwaacha mashabiki hoi uwanjani


Managing Direct wa HABARI KAMILI KAMILI akiwaoji baadhi ya wasanii hao baada ya kumaliza mechi hiyo


Share on Google Plus

0 comments: